HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumatatu, 24 Agosti 2015

HABARI MOTOOOO--FILIKUNJOMBE APITA BILA KUPINGWA---CCM YAPATA MBUNGE WA KWANZA

Habari zilitufikia ni kuwa tayari CCM ina uhakika mkubwa wa Mbunge mmoja baada ya Filikunjombe kupita bila kupingwa katika jimbo lake. Mkanda mzima ni kuwa kulikuwa na wagombea wanne waliochukua fomu, wawili kutoka DP na TLP hawakurejesha fomu kabisa, mgombea wa CHADEMA alishindwa kujaza fomu vizuri na pia kushindwa kurejesha fomu ya Kiapo cha Maadili ya Sheria ya Uchaguzi .Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Ludewa Ndugu William Waziri alithibitisha hali hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni