HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumanne, 25 Agosti 2015

MAGUFULI AITIKISA KATAVI,WAZIRI MKUU PINDA AMNADI KWA KISHINDO

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika

 Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.


Wafuasi na wanachama cha CCM wakifurahia mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika uwanja wa Azimio mjini Mpanda mkoani Katavi. 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati uliofurika kwenye uwanja wa Azimio mjini Mpanda mkoani Katavi.Wananchi wakishangilia wakati  Waziri Mkuu Pinda alipokuwa akimnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa  Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi
 

Sehemu ya umati wa watu waliokuwa wamefurika leo katika uwanja wa Azimio mjini Mpanda wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli .

Wananchi wa kata ya Katumba wilayani Nsimbo wakiwa wamekusanyika kwa 
wingi kumsikiliza Dkt Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata hiyo, wilayani Nsimbo
 mkoani Katavi 

Waziri Mkuu Pinda akimuelekeza jambo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCMSehemu ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni  katika kata ya  Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi Mmoja wa wananchi akimshangilia Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika kijiji cha Mpandandogo,mkoani Katavi

  

  

 
  
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda pichani kushoto akiwa na baadhi ya wanachama cha CCM,ndani ya wilaya ya jimbo la Nsimbo wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia wananchi hao kwenye mkutano wa kampeni  mkoani Katavi.


PICHA NA MICHUZI JR-KATAVI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni