HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumapili, 30 Agosti 2015

UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA MIKOA YA UNGUJA NA PEMBA


Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi tarehe 07/09/2015 ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari la Awali na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni