HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumatatu, 14 Septemba 2015

CCM YAZINDUA KAMPENI ZA UGOMBEA URAIS ZANZIBAR

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala  Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha ilanui ya Uchaguzi ya CCM leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais mbele ya umati mkubwa sana katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein  akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais  katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiongea na umati mkubwa sana wa wananchi  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongea na umati mkubwa sana wa wananchi  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wananchiu wenye furaha baada ya uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa akiagana na viongozi wa CCM Zanzibar baada ya kuhudhuria na pia kuhutubia katika uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.


PICHA NA IKULU

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni