HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumapili, 4 Oktoba 2015

BURIANI MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA


mtikila+top    RIP MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA
Mchungaji na mwanasiasa maarufu Christopher Mtikila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea alfajiri leo, ambapo gari alilikuwa akisafiria kupinduka huko Msolwa, Chalinze. Watu wengine wawili wamejeruhiwa katika ajali hiyo. Maiti ya Mchungaji ilipelekwa hospitali ya Tumbi Kibaha. Mchungaji Mtikila alikuwa mwenyekiti wa chama cha DP. Na karibuni alitangaza kuwa atamfungulia kesi mmoja wa wagombea wa Urais akipinga mgombea huyo kugombea anafasi hiyo.
 Mungu Amlaze Pema Peponi Mchungaji Christopher Mtikila
  IMG-20151004-WA0096 Gari lililopata ajaliIMG-20151004-WA0053 Mwili wa Mch Mtikila ukishushwa Tumbi Hospital

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni