HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumanne, 20 Oktoba 2015

CHEKA KIDOGO WAKATI UNASUBIRI .........MNANISIKIA AU HAMNISIKII

Wana ukawa walikuwa wamekusanyika wanangojea mkutano, bosi wao akaja, akachukua maiki,
BOSI: Pipozzzzzzzz
WANAUKAWA: Pawaaaaaaaa
BOSI: Haya mnanisikia?
WANAUKAWA: Ndioooooo
BOSI: Basi nilitaka kuwambia leo hatuna mkutano maana hii maiki mbovu kwa hiyo hamnisikii sawa?
WANAUKAWA: Sawaaaa
BOSI: Pipozzzz mnaninisikia?
WANAUKAWA: Hatukusikiiii
BOSI: Kalaleni mje kesho mtanisikia sawaaa
WANAUKAWA: Sawaaaaaa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni