HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumanne, 20 Oktoba 2015

cheka wakati ukisubiri kutumia kichinjio HIZO NI NJAMA ZA CHAMA TAWALA

KIONGOZI  wa UKIWA alikuwa bizi kwenye kampeni, moyo wake wasiwasi umemjaa kuwa ataibiwa kura. Mkewe alikuwa mjamzito na akakimbizwa kujifungua wakati jamaa yuko bizi mita 200 toka kituo cha kupigia kura. Muda si mrefu akapigiwa simu
NESI: Mzee mkeo kajifungua mapacha
KIONGOZI:Sikubali, hizo ni njama za CCM kutaka  kuniibia kura na kunihujumu kiuchumi  mi mtoto wangu mmoja tu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni