HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Ijumaa, 9 Oktoba 2015

KUMBE NI UWONGO MTUPU, PATA HABARI ILIKOTOKA ILE PICHA

PICHA hii ilidaiwa imepigwa Arusha ni uwongo wa kutupwa. Picha hii ni maandamano ya kudai amani ambayo yalifanyika karibuni katika jiji la Conakry Guinea. Ambapo umati huu ulilifunika jiji la Conakry japo kuna vurugu zinaendelea kati ya wanachama wa vyama pinzani humo nchini. Picha hii iliwekwa kwenye twitter na Bi Aisha Dabo ambaye yeye anasema kazi yake ni kutweet juhusu matukio katika Afrika 
ORIJINO HII HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni