HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

ON STAGE

MAPOKEZI YA DR MAGUFULI LEO HUKO UKONGA


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akinyooshewa vidole gumba na wakazi wa Jimbo la Ukonga ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyo, wakati wa mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar, Ukonga - Dar es Salaam.

Maoni