HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumamosi, 24 Oktoba 2015

SHAMRA SHAMRA ZA KAMPENI ZA MWISHO DAR


Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli aliweza kufanya mikutano yake Kigamboni, Mbagala, Temeke, Sinza na kumalizia Biafra jijini Dar es Salaam ambapo aliweza kuwasisitiza wananchi waweze kumchagua ili aweze kuwaletea maendeleo ya kweli. Alisema kuwa atawasaidia wakazi wa jiji la Dar es Salaam kuweza kupata maji safi na salama, suala la mgao wa Umeme linaweza kuwa historia tena.
Kila mmoja akijitahidi kunasa tukio kwa ukaribu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiongea na wakazi wa Sinza ambapo ipo ndani ya Jimbo la Ubungo ...
Umati wa Wananchi waliokusanyika katika viwanja vya Biafra - Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Ujumbe mbali mbali.
Ujumbe wa kumnadi Dk. Magufuli.
Mzee Warioba akiongea machache wakati akimnadi Mgombea urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli.
Shangwe na vigeregere kwa wakazi wa Ubungo... ambapo walisimamisha msafara wake wakaongea nae.
Kila mmoja akionyesha furaha baada ya Dk. Magufuli kusimama.
Wengine waliamua kutandika khanga zao ili aweze kupita ikiwa ni kuonyesha heshima ya pekee.
Shangwe na vigeregere vilitanda kwa wakazi wa jiji la Dar.
Akisalimia wakazi wa Temeke na vitongoji vyake....
Mama Mtemvu akiwa na mwanae Sitti wakimsapoti baba yao....
Kila kona ni Kijani iliyonona....
 
Tumemsikia. Tumemuelewa. Tutamchagua. #MAGUFULI =✅#hapakazitu
Ujumbe toka kwa wananchi...
Dk. Magufuli akiongea na wanaTEMEKE....
Ubungo kucheleeeeee....
Akina mama wakiwa wamehamasika kusikiliza sera.
Shangwe na vigeregere vilitawala....

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni