HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumanne, 20 Oktoba 2015

SHETANI AGEUKA MALAIKA

HATIMAE ule msemo wa SHETANI AKIZEEKA ANAGEUKA MALAIKA umetokea laiv katika Jamhuri ya Bongolendi. Wanasiasa machachari wameweza kumchukua mtu walieyekuwa wakiueleza umma kuwa ni shetani mkuu wa mashetani na ghafla wamekuwa wapole na kuwahakikishia wafuasi wao kuwa eti yule shetani kageuka malaika. Katika kampeni yao inayoitwa mabadiliko, wanasiasa hawa wameonyesha ubora wao katika kumbadilisha shetani kuwa malaika.Tena malaika kiongozi wa malaika wa zamani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni