HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumatatu, 13 Julai 2015

Cheka na Politiki ya kuelekea Urais kwa tiketi ya CCM 1

CHAMA CHA MAPINDUZI KIMEKAMILISHA AWAMU YA KUTAFUTA MGOMBEA WA NAFASI YA URAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO. Mchezo wa politiki ulikuwa mtamu, kulikuwa na watangaza nia 42, hatimae mmoja tu kachaguliwa. Cheka na Politiki inakuletea mkusanyiko wa vichekesho na utani uliokuwa ukiendelea kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook, twitter, instagrma na whatsapp kuhusu swala hilo