HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Ijumaa, 6 Mei 2016

MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHI MBALIMBALI AKIWA SAFARINI KUTOKEA DODOMA KUELEKEA ARUSHA KWA BARABARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na mamia ya wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha sehemu mbalimbali wakati akitokea Dodoma kuelekea mjini Arusha kwa njia ya barabara leo Mei 6, 2016. PICHA NA IKULU

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni