HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Alhamisi, 9 Juni 2016

MWENYEKITI mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF, mheshimiwa Anne Makinda

MWENYEKITI mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF, mheshimiwa Anne Makinda (Spika Msfaafu) akipokea maelezo kutoka kwa kaimu mkuu wa kituo cha huduma kwa wateja Bibi Evarista Mkwizu, wakati mwenyekiti huyo alipotembelea makao makuu ya mfuko huo katika ziara fupi ya utambulisho mwishoni mwa wiki iliyopita.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni