HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumatano, 29 Machi 2017

MTANZANIA ALIYEWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA MUDA MFUPI AMUANGUKIA WAZIRI MWAKYEMBE

Gaudence Lekule akiwa katika kilele cha Uhuru ,Mlima Kilimanjaro baada ya kukimbia kwa muda wa wa saa 8:36. Na kuweka rekodi mpya akiwa Mwafrika na Mtanzania wa kwanza kutumia muda huo kupanda kilele cha mlima Kilimanjaro na kushuka.

Gaudence Lekule akipanda mlima Kilimanjaro huku akikimbia wakati akiweka rekodi baada ya kutumia muda wa saa 8:36 mapema mwaka huu.

Lekule akifurahia mara baada ya kufanikiwa kuweka ekodi ya kutumia muda wa saa 8:36 kupanda Mlima Kilimanjaro na kushuka.


Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

MTANZANIA ,Gaudence Lekule (31) anayeshiriki michezo ya kupanda milima kwa kasi (Mountain Run) amemuomba Waziri mpya wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo ,Dkt Harison Mwakyembe kutupia jicho michezo mingine kwani ina nafasi kubwa ya kutangaza na kuletea sifa taifa. Lekule anayeshikilia rekodi ya kuwa Mwafrika wa kwanza Duniani kupanda kwa muda mfupi katika Mlima Kilimanjaro akitumia muda wa jumla wa saa 8:36 alitoa wito pia kwa kampuni,taasisi binafsi na za serikali kujitokeza kudhamini wanamichezo kutokana na eneo hilo upo uwezekano wa kujitangaza zaidi kidunia. Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum,Gaudence alisema kwa sasa yupo katika maandalizi ya kuweka rekodi mpya katika milima mirefu na maarufu  Duniani kwa kufanya mazoezi ya awali hapa nchini na baadae nje ya nchi. “ Nashukuru kuitangaza Tanzania kidunia na tayari nimepata  mialiko mingi ya kwenda nje kushiriki mashindano ya Mountain Run ,Lengo langu  ni kuweka rekodi katika milima mirefu duniani hivyo bado naendelea na mazoezi na nitaendelea kufanya mazoezi hapa kwetu na badaae nje ya Tanzania”alisema Gaudence . Alisema hadi sasa rekodi ya Dunia inashikiliwa na raia wa nchi ya Ecuador, Karl Egloff aliyetumia muda wa saa 6:53 kupanda na kushuka Mlima Kilimanjaro ,rekodi aliyoweka mwaka 2014 akivunja rekodi ya  Kilians Jornet  raia wa Hispania aliyetumia muda wa saa 7:20 kupanda na kushuka mlima Kilimanjaro mwaka 2010. Lekule alisema changamoto iliyopo kwa sasa ni mabadiliko hali ya hewa inayochangia kushindwa kufanya mazoezi na upatikanaji wa mahitaji kama chakula pamoja na mavazi kwa ajili ya mchezo huo unafanyika kuanzia urefu wa mita 3500 hadi 5800. Akizungumzia kilichomsukuma kushiriki mcezo mchezo huo,Lekule ,mkazi wa kiraracha Marangu wilaya ya Moshi alisema raia wa kigeni wamekuwa wakishiriki katika michezo ya aina hiyo kwa ajili ya kuweka rekodi hivyo akaona ni wakati wa waafrika pia kushiriki katika uwekaji wa rekodi Duniani. Alisema raia wa Ecuador ,anayeshikilia rekodi ya dunia aliposikia ameweka rekodi akiwa ni mwafrika na Mtanzania wa Kwanza alituma salamu za pongezi huku akimtaka kwenda kwenye milima iliyopo nchi za nje kutafuta rekodi nyinine. “Egloff alifurahi sana na kunipa moyo na kunitaka nikatafute  rekodi nje ya Afrika kwa sababu nina uwezo mkubwa wa kufanya vizuri Ulaya na kuipa sifa Tanzania,ni ngumu sana mtu kukimbia kwenye urefu kama uliopo Mlima Kilimanjaro na katika maisha inahitaji moyo sana.”alisema Lekule. 
Rekodi za kidunia.

Mara ya kwanza  rekodi ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kasi kwa Afrika ilikua inashikiliwa na Saimon Mtui akitumia muda wa saa 9 : 20 mwaka 2006, baadae raia wa Hspania  Kilians Jornet  alitumia muda  wa  saa 7:20  mwaka  2010. Mwaka 2014 ndipo Karl Egloff   raia wa Ecuador anayeshikilia rekodi ya Dunia hadi sasa alitumia muda wa  saa 6 :53 mwaka   2014 na sasa  Mtanzania  Gaudence Lekule  ameweka rekodi ya kuwa Muafrika na Mtanzania wa Kwanza akitumia muda wa saa 8:36 .

Alhamisi, 23 Machi 2017

MINISTRY OF INFORMATION CULTURE ARTS AND SPORTS GETS A NEW MINISTER

Dr Harrison Mwakyembe

THE President of the Republic of Tanzania Dr John Pombe Magufuli, today has made minor changes in his cabinet, replacing Mr. Nape Nnauye, with Dr Harrison Mwakyembe.The new Minister will be sworn in tomorrow.

Jumatano, 22 Machi 2017

TANZANIA BLOGGERS BRUSHUP ON 'MEDIA IN DIGITAL AGE'

Members of the Tanzania Bloggers Network got a rare chance of listening to a presentation titled 'How do you keep up with media in the digital age?'. The chief speaker was a visiting professional journalist Ricci Shrylock, who is currently based in Senegal. The bloggers listened and participated in disscussions on the topic and gained useful experience from the discussions. Later the participants were given certificates of participation. Thanks should be given to the US Embassy in Dar for making the event which was held in the Embassy possible.For more pictures click here

Jumatatu, 20 Machi 2017

KONGAMANO LA MAADILI KUFANYIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM KESHO

 Naibu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Anastazia Wambura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kongamano la maadili litakalofanyika kesho Uwanja wa Taifa kuanzia saa nne asubuhi. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa, Leah Kihimbi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey Mngereza.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey Mngereza (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.
 
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.


Na Dotto Mwaibale

Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo inatarajia kufanya kongamano  linalolenga maadili kwa Taifa nchini.

Kongamano hilo litafanyika kesho kuanzia saa nne asubuhi Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Naibu Waziri wa wizara hiyo,  Anastazia Wambura amesema ni wajibu  kwa kila mwanajamii kuthamini, kuenzi na kuendeleza maadili mema, mila na desturi zinazofaa.

“Serikali hususani wizara inajukumu la kutoa muelekeo na usimamizi kuhakikisha Taifa linaenzi na kuimarisha utambulisho wake na kujenga utamaduni huru na sio huria” alisemaWambura.

Aidha Wambura alisema kuna fursa ya kubaini, kuenzi na kukuza, kuhifadhi  na kurithisha utamaduni na sanaa vyenye kuzingatia na kuimarisha maadili, mila na desturi kwa kuleta maendeleo.

“Wananchi wamekuwa  wanaendelea kujihusisha  na shughuli mbalimbali za Kifani, Sanaa na utamaduni ikiwemo ngoma za asili, filamu, muziki, jando, unyago, matambiko, Sherehe na maadhimisho mbalimbali” alisemaWambura.

Ameongeza kuwa shughuli hizo ni halali ilimradi zifanywe  kwa kuzingatia sheria na kanuni na msingi wa asili yake, kwa maana kwamba kama jambo ni la faragha na usiri libaki kwenye uhalisia wake na kuhusisha rika jinsia na asili yake.


Jumanne, 14 Machi 2017

Tigo awards $40,000 to support projects run by local social entrepreneurs

DAR ES SALAAM, Tanzania, March 10, 2017/ -- Tigo Tanzania (www.Tigo.co.tz), in partnership with a non-profit organization, Reach for Change (http://Africa.ReachForChange.org), has given an award of USD 20,000 each to two winners of the 5th edition of the Tigo Digital Changemakers Competition. The competition aims at identifying and supporting social entrepreneurs who use digital tools and technology to improve communities and impact future generations. In addition to a substantial financial grant, winners are provided with access to Tigo and Reach for Change Incubator Program, which provides them with advice, expertise and access to global networks, enabling them to build financially sustainable social enterprises that create lasting, large scale change to the community.

This year’s winners of the coveted award are Sophia Mbega and Nancy Sumari. Sophia Mbega impressed the judges with a grand digital initiative that is geared towards helping self-help women groups popularly known as VICOBA (Village Community Banks). She has come up with a mobile app that creates a collaborative platform that uses existing tools for financial and task management in a way that is adaptable to the African context. Through the app, all users, regardless of where they are, can transfer money from their mobile wallet to their Vicoba group account (directly from the app by using an USSD code), view all of their financial records, profit generated, weekly reports, etc.

Nancy Sumari’s award-winning initiative dubbed JENGA HUB focuses on foundation knowledge for children. Through her hub and co-creation space for kids, she teaches computer programming, robotics and coding skills to primary school children. The hub also exposes children to learning basic Information and Communication Technology such as programming skills that can in turn be used for creation of a range of educational and entertainment content.

Speaking at the press conference in Dar es Salaam, Tigo Tanzania Managing Director Diego Gutierrez said: “It is with great pleasure that we announce the winners of this year’s Tigo Digital Changemakers Competition. For five years now, our Changemakers have touched the lives of over 250,000 children in Tanzania. We believe that with the addition of these two Changemakers, we will impact on the lives of more children and help to make Tanzania a better place for our future generations.” 

Gutierrez further elaborated that as a digital lifestyle brand, Tigo encourages technology-driven ideas and projects that bring sustainable change. “Digital technology is not only changing the way we do business in Africa but also revolutionizing the way we perceive and solve social development challenges. It is therefore with great honor that we will once again create an opportunity for such ideas to be recognized, supported and transformed to maximize social and economic impact,” he said.

This is the fifth year that Tigo and Reach for Change are unveiling the winners of the competition. The final winners were selected from a group of hundreds of passionate ‘social entrepreneurs’ who use digital tools and technology to implement solutions to problems facing Tanzanian communities.

Gutierrez praised the work of the past winners while encouraging others to share their ideas: “Our portfolio of social entrepreneurs is very impressive. To date, we have supported a total of 8 Digital Changemakers in Tanzania and we look forward to supporting more social entrepreneurs every year to propel this movement forward.”

The Changemakers in the program include Faraja Nyalandu, who runs a digital social enterprise called Shule Direct. Shule Direct provides digital educational content to help address teacher shortages and ensure that every child and youth has access to quality education. Faraja’s organization also offers a mobile app called Makini SMS that helps children study with access to unlimited multiple choice questions for 9 subjects. She is currently planning to scale her organization in other East African countries.

Carolyne Ekyarisiima, a YALI alumna, is a Tigo Digital Changemaker who is working to bridge the gender gap in ICT technology through her social enterprise, Apps & Girls. Carolyne has impacted hundreds of girls, through coding clubs in schools. She has also reached hundreds of girls through hackathons, bootcamps and competitions. Not only does this help to ensure that more girls have access to digital technologies, Carolyne is also empowering them to become ICT leaders of the future. Carolyne is currently scaling her social enterprise to maximize her impact and provide many more girls with tech education, helping them to develop solutions for social issues through their own digital applications and websites!

Joan Avit, a YALI alumna, is improving the quality of early childhood education through digital innovation. As a Digital Changemaker through her project known as GraphoGame Tanzania, she provides child-friendly, game-based learning that helps children learn to read using phonics. Her innovation has been life changing for hundreds of young students who previously struggled in school and are now thriving as a result of her digital innovation.

“We are very supportive of the work of all our Changemakers and this is why, this year, we have once again identified and supported two more brave and innovative social entrepreneurs,” Gutierrez noted.

Speaking at the award ceremony, Reach for Change Tanzania Program Manager, Josephine Msambichaka hailed the NGO’s partnership with Tigo, noting that it had provided perfect opportunities for the implementation of sustainable business models that benefit communities, especially scores of children, from across the country. 

Ijumaa, 3 Machi 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi kuhusu masula mbalimbali ya mkoa huo pamoja na Taifa kwa uju

. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwaaga wananchi wa Lindi waliofika katika uwanja wa Ilulu kumsikiliza mara baada ya kumaliza kuwahutubia uwanjani hapo. PICHA NA IKULU


. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwaaga wananchi wa Lindi waliofika katika uwanja wa Ilulu kumsikiliza mara baada ya kumaliza kuwahutubia uwanjani hapo. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi kuhusu masula mbalimbali ya mkoa huo pamoja na Taifa kwa ujuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi (wa kwanza kushoto), Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa pamoja na Mbunge mteule Mama Salma Kikwete

International Criminal Court (ICC) President meets with President of Uganda


THE HAGUE, Netherlands, March 3, 2017/ -- On 1 March 2017, the President of the International Criminal Court (ICC) (www.ICC-CPI.int), Judge Silvia Fernández de Gurmendi, who was on an official visit to Uganda, met with President Yoweri Kaguta Museveni at State House in Entebbe. The Minister of Justice and Constitutional Affairs, Hon. Kahinda Otafiire, the Attorney General, Mr. Byaruhanga William and State Minister for International Affairs, Hon. Okello Oryem, as well as Mr Motoo Noguchi, Chair of the Board of the Trust Fund for Victims (TFV), also attended the meeting.

The ICC President held bilateral discussions with H.E. the President and reiterated the Court’s commitment to listen to concerns raised by Uganda. She emphasized the Court’s willingness to continue engaging with States Parties on improvements of its methods of work.

President Fernández expressed recognition for the historic role of Uganda in relation to the Court and thanked President Museveni for the cooperation of his government with the Court. She stated that “Uganda’s cooperation and support for the Court’s operations is and will remain crucial for the implementation of the Court’s mandate”.

President Fernández was on a one-week official visit to Uganda, where she visited victim assistance projects supported by the TFV, an independent body associated with the Court.

Though the TFV is separate from the Court, it was created under the Rome Statute system. The TFV supports and implements programmes that address harm resulting from genocide, crimes of humanity, and war crimes within the jurisdiction of the Court. To achieve this mission, the TFV has a two-fold mandate: (i) to implement Court-ordered reparations and (ii) to provide assistance through physical, psychological, and material support to victims and their families. The TFV's current activities in Uganda involve the assistance mandate.
Distributed by APO on behalf of International Criminal Court (ICC).