HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumatatu, 3 Aprili 2017

MLIPUKO UNAOSEMEKANA NI WA KIGAIDI WAUA ZAIDI YA 10 URUSI


Zaidi ya watu 10 wameuwawa katika mlipuko uliotokea katika treni itembeayo chini ya ardhi katika jiji la St Petersburg. Kiongozi mmoja wa Russia's National Anti-Terrorist Committee amesema kuwa mlipuko huo uliikumba treni kati ya stesheni ya Sennaya Ploshchad na Tekhnologichesky Institut stations. Kifaa kingine kilichoweza kulipuka kilipatikana kwenye kituo kingine cha treni na kuweza kuteguliwa.
Hakuna maoni:

Chapisha Maoni