VIDEO- MSICHANA AJITOSA BAHARINI, BOTI IKIWA NJIANI KUELEKEA ZANZIBAR

MSICHANA  mmoja ambaye jina lake halikupatikana mchana wa leo alijitosa baharini kaika lililoonekana kama jaribio la kujiua. Jitihada ya wananchi walioogelea na kuweza kumuokoa  kabla hajazama ndizo zilizomnusuru kuzama. Mpaka sasa haijajulikana sababu ya kitendo hicho.
video
video

Maoni