HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumatano, 3 Mei 2017

VIDEO-KONGAMANO LA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI, KITAIFA JIJINI MWANZA.


Fuatilia yaliyojiri kwenye Kongamano la Wanataaluma na Wadau wa Habari kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, lililofanyika kitaifa Jijini Mwanza.

Kilele cha Maadhimisho hayo ni leo Mei 03,2017 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni