HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Ijumaa, 23 Juni 2017

KATIBU MKUU CCM APIGA MARUFUKU UUZAJI WA FOMU ZA UCHAGUZI

TAARIFA MUHIMU:
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana amepiga marufuku uuzaji wa fomu za uchaguzi kwa ngazi zote za uongozi ndani ya Chama.

Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Rodrick Mpogolo kwenda kwa Makatibu Wakuu wa Jumuiya imeeleza kuwa kwa mwanachama yeyote aliyeuziwa fomu arejeshewe pesa yake.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni