HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Jumatano, 14 Juni 2017

RAIS JP MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARRICK GOLD CORPORATION, MMILIKI MKUBWA WA ACACIA MINING LIMITED- ONA VIDEO MUBASHARA

Huyu ndie John Lawson Thornton aliyezaliwa  tarehe 2 Januari 1954. John pamoja na kuwa msomi mzuri ambaye anaendesha Global Leadership Program katika chuo kikuu cha  Tsinghua katika jiji la Beijing China, pia ndie Mwenyekiti Mtendaji wa Barrick Gold Corporation mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia Mininga Limited, kampuni ambayo iko katikati ya timbwili la usafirishaji tata wa makinikia. Thornton ametua Dar es Salaam na leo amekuwa na mazungumzo na Rais wetu Dr John Pombe Magufuli. Maelezo zaidi soma taarifa hiyo chini kutoka Ikulu Dar es SalaamHakuna maoni:

Chapisha Maoni