HATUPIMI BANDO

HATUPIMI BANDO

Ijumaa, 28 Julai 2017

MH RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA MOROGORO AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DAR -ES SALAAM AKITOKEA MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu  mkoani Morogoro akitokea mkoani Dodoma. Julai 27, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia  wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu  mkoani Morogoro waliokuwa wamejitokeza kumsalimia  akitokea Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Bi Maria Gabrieli aliyemweleza Mh Rais juu ya kero za wafanya biasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu  mjini Morogoro .

Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Bi Halima Alli aliyemweleza Mh Rais juu ya kero za wafanyabiashara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu  Morogoro kunyanyaswa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni